Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.

Utafiti huu ulifanywa kuhusu usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Mbinu za kukusanya data zilikuwa ni mahojiano na uchanganuzi...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Ainembabazi, Abia
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2024
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2485
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844185801752576
author Ainembabazi, Abia
author_facet Ainembabazi, Abia
author_sort Ainembabazi, Abia
collection KAB-DR
description Utafiti huu ulifanywa kuhusu usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Mbinu za kukusanya data zilikuwa ni mahojiano na uchanganuzi nyaraka na data za utafiti huu zilizokusanywa zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kiamaelezo. Matokeo ya utafiti huu yamewasilishwa kwa mtiririko kama malengo ya utafiti katika sura ya kwanza yalivyobainishwa mtawalia. Matokeo ya lengo la kwanza yaliwasilishwa kwa jedwali 4.1. Methali za Kinyankole zimeorodheshwa kwa jedwali hilo. Matokeo ya lengo la pili yanaonyesha kwamba kuna methali nyingi za Kinyankole ambazo kwazo ubabedume unasawiriwa na methali hizo ni kama vile; Utafiti huu umekuwa na malengo mawili yanni lengo la kwanza ambalo limekuwa linahusu kukusanya methali za Kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Mtafiti amekusanya methali za kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Pamoja na lengo la pili ambalo lilikuwa linahusu kuchunguza namna methali hizo zinazosawiri ubabedume na mtafiti amezichunguza methali hizo kwa kuonyesha namna hizo methali zinazosawiri ubabedume.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2485
institution KAB-DR
language English
publishDate 2024
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-24852024-12-22T00:01:31Z Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore. Ainembabazi, Abia Usawiri Ubabedume Fasihi Simulizi Uchunguzi Methali Kinyankore Utafiti huu ulifanywa kuhusu usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi: uchunguzi wa methali za kinyankore. Mbinu za kukusanya data zilikuwa ni mahojiano na uchanganuzi nyaraka na data za utafiti huu zilizokusanywa zilichanganuliwa kwa kutumia mkabala wa kiamaelezo. Matokeo ya utafiti huu yamewasilishwa kwa mtiririko kama malengo ya utafiti katika sura ya kwanza yalivyobainishwa mtawalia. Matokeo ya lengo la kwanza yaliwasilishwa kwa jedwali 4.1. Methali za Kinyankole zimeorodheshwa kwa jedwali hilo. Matokeo ya lengo la pili yanaonyesha kwamba kuna methali nyingi za Kinyankole ambazo kwazo ubabedume unasawiriwa na methali hizo ni kama vile; Utafiti huu umekuwa na malengo mawili yanni lengo la kwanza ambalo limekuwa linahusu kukusanya methali za Kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Mtafiti amekusanya methali za kinyankole ambazo zinasawiri ubabedume. Pamoja na lengo la pili ambalo lilikuwa linahusu kuchunguza namna methali hizo zinazosawiri ubabedume na mtafiti amezichunguza methali hizo kwa kuonyesha namna hizo methali zinazosawiri ubabedume. 2024-12-21T09:13:22Z 2024-12-21T09:13:22Z 2024 Thesis Ainembabazi, Abia (2024). Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2485 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Usawiri
Ubabedume
Fasihi Simulizi
Uchunguzi
Methali
Kinyankore
Ainembabazi, Abia
Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title_full Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title_fullStr Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title_full_unstemmed Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title_short Usawiri wa Ubabedume Katika Fasihi Simulizi: Uchunguzi wa Methali za Kinyankore.
title_sort usawiri wa ubabedume katika fasihi simulizi uchunguzi wa methali za kinyankore
topic Usawiri
Ubabedume
Fasihi Simulizi
Uchunguzi
Methali
Kinyankore
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2485
work_keys_str_mv AT ainembabaziabia usawiriwaubabedumekatikafasihisimuliziuchunguziwamethalizakinyankore