Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.

Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, k...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Baluku, Joel
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2789
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
Description
Summary:Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, kategoria za sababu za makosa ya upatanisho wa kisarufi pia yalibainishwa na hatua za kukabiliana na makosa hayo. Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwepo kwa makosa ya upatanisho wa kisarufi katika kazi andishi na zungumshi za wanafunzi wa shule za upili wanaojifunza lugha ya Kiswahili hasa kutokana na harakati na jitihada za kujifunza. Athari za lugha ya kwanza pia zimejitokeza kama chanzo za makosa ya upatanisho wa kisarufi. Makosa hayo yanadhihirika katika vipengele vya ujuzi na uzalishaji wa matamko na maandishi.