Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.

Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, k...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Baluku, Joel
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2789
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844184179605504
author Baluku, Joel
author_facet Baluku, Joel
author_sort Baluku, Joel
collection KAB-DR
description Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, kategoria za sababu za makosa ya upatanisho wa kisarufi pia yalibainishwa na hatua za kukabiliana na makosa hayo. Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwepo kwa makosa ya upatanisho wa kisarufi katika kazi andishi na zungumshi za wanafunzi wa shule za upili wanaojifunza lugha ya Kiswahili hasa kutokana na harakati na jitihada za kujifunza. Athari za lugha ya kwanza pia zimejitokeza kama chanzo za makosa ya upatanisho wa kisarufi. Makosa hayo yanadhihirika katika vipengele vya ujuzi na uzalishaji wa matamko na maandishi.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2789
institution KAB-DR
language English
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-27892025-01-16T00:00:45Z Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese. Baluku, Joel Makosa Upatanisho Kisarufi Ujifunzaji Lugha Kiswahili Shule Wilayani Kasese Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya upatanisho wa kisarufi miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili wilayani Kasese. Utafiti huu ulijihusisha na ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya pili katika mazingira ya lugha ya kwanza ya Kikonzo. Makosa ya upatanisho wa kisarufi yalibainishwa, kategoria za sababu za makosa ya upatanisho wa kisarufi pia yalibainishwa na hatua za kukabiliana na makosa hayo. Matokeo ya utafiti huu yalionesha kuwepo kwa makosa ya upatanisho wa kisarufi katika kazi andishi na zungumshi za wanafunzi wa shule za upili wanaojifunza lugha ya Kiswahili hasa kutokana na harakati na jitihada za kujifunza. Athari za lugha ya kwanza pia zimejitokeza kama chanzo za makosa ya upatanisho wa kisarufi. Makosa hayo yanadhihirika katika vipengele vya ujuzi na uzalishaji wa matamko na maandishi. 2025-01-15T11:31:38Z 2025-01-15T11:31:38Z 2024 Thesis Baluku, Joel (2024). Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2789 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Makosa
Upatanisho
Kisarufi
Ujifunzaji
Lugha
Kiswahili
Shule
Wilayani Kasese
Baluku, Joel
Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title_full Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title_fullStr Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title_full_unstemmed Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title_short Makosa ya Upatanisho wa Kisarufi Katika Ujifunzaji wa Lugha ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Kasese.
title_sort makosa ya upatanisho wa kisarufi katika ujifunzaji wa lugha ya kiswahili katika shule za upili wilayani kasese
topic Makosa
Upatanisho
Kisarufi
Ujifunzaji
Lugha
Kiswahili
Shule
Wilayani Kasese
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2789
work_keys_str_mv AT balukujoel makosayaupatanishowakisarufikatikaujifunzajiwalughayakiswahilikatikashulezaupiliwilayanikasese