Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.

Katika makala haya, mtafiti anaeleza namna ambavyo Kiswahili kinaweza kuwa na manufaakwa nchi ya Uganda. Ni kweli kwamba nchini Uganda, watu kadhaa wakiwemo baadhi ya wanasiasa hawaoni umuhimu wa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, nchi ya Uganda inaweza kunufaika pakubwa sana hasa kiuchumi kutokana na...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Musiimenta, Anita
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2857
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844184804556800
author Musiimenta, Anita
author_facet Musiimenta, Anita
author_sort Musiimenta, Anita
collection KAB-DR
description Katika makala haya, mtafiti anaeleza namna ambavyo Kiswahili kinaweza kuwa na manufaakwa nchi ya Uganda. Ni kweli kwamba nchini Uganda, watu kadhaa wakiwemo baadhi ya wanasiasa hawaoni umuhimu wa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, nchi ya Uganda inaweza kunufaika pakubwa sana hasa kiuchumi kutokana na lugha ya Kiswahili. Ni jambo la wazi kuwa uchumi duni hufanya nchi ikose kupata maendeleo ilhali uchumi imara hufanya nchi iwe na maendeleo. Nchi zenye nguvu kama vile Marekani na zile za Ulaya zimeweza kupata maendeleo makubwa kwa sababu ya kuwa na uchumi imara. Kwa hiyo, nchi mbalimbali huweka mikakati maalumu ya kuimarisha uchumi zao. Nchi huwa zinaimarisha uchumi zaokwa kuimarisha sekta za biashara, kilimo, viwanda, uvuvi na utalii. Halikadhalika, nchi nyingi hutenga kiasi kikubwa cha pesa katika bajeti zao za kila mwaka wa kifedha kwa ajili ya kuimarisha sekta mbalimbali zinazoimarisha uchumi. Nchi mbalimbali pia huendeleza sekta ya kibinafsi katika harakati zao za kuimarisha uchumi na kuondoa umaskini katika jamii. Kwa hiyo, watu binafsi huwa wanahamasishwa kuanzisha miradi mbalimbali na kubuni kazi kwa wananchi badala ya kusubiri serikali. Hata hivyo, nchini Uganda, wanasiasa hawajaona umuhimu wa lugha ya Kiswahili na nchi hii ni mwanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa hiyo, katika makala hii, mtafiti anaeleza jinsi Kiswahili kinaweza kuwa na manufaa kwa Waganda. Utafiti huu ulikusudia kujibu swali; Je, Kiswahili kinaweza kuwa na manufaa yoyote kwa nchi ya Uganda? Katika kazi hii, mkabala wa utafiti ulikuwa wa nyanjani. Mtafiti aliendeleza utafiti katika Wilaya ya Bududa nchini Uganda. Wahojiwa walikuwa walimu katika shule za sekondari. Taarifa zilikusanywa kutoka kwa walimu 100. Baada ya taarifa kukusanywa, mtafiti alizichanganua data hizo na kubainisha hoja tofautitofauti. Umuhimu wa utafiti huu ni kuwa ulipelekea wananchi wa Uganda kuona umuhimu wa lugha ya Kiswahili na hivyo kuanza kuitetea badala ya kuipiga vita.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2857
institution KAB-DR
language English
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-28572025-01-21T00:00:50Z Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda. Musiimenta, Anita Hali Kiswahili Shule Upili Wilayani Ntungamo Uganda Katika makala haya, mtafiti anaeleza namna ambavyo Kiswahili kinaweza kuwa na manufaakwa nchi ya Uganda. Ni kweli kwamba nchini Uganda, watu kadhaa wakiwemo baadhi ya wanasiasa hawaoni umuhimu wa lugha ya Kiswahili. Hata hivyo, nchi ya Uganda inaweza kunufaika pakubwa sana hasa kiuchumi kutokana na lugha ya Kiswahili. Ni jambo la wazi kuwa uchumi duni hufanya nchi ikose kupata maendeleo ilhali uchumi imara hufanya nchi iwe na maendeleo. Nchi zenye nguvu kama vile Marekani na zile za Ulaya zimeweza kupata maendeleo makubwa kwa sababu ya kuwa na uchumi imara. Kwa hiyo, nchi mbalimbali huweka mikakati maalumu ya kuimarisha uchumi zao. Nchi huwa zinaimarisha uchumi zaokwa kuimarisha sekta za biashara, kilimo, viwanda, uvuvi na utalii. Halikadhalika, nchi nyingi hutenga kiasi kikubwa cha pesa katika bajeti zao za kila mwaka wa kifedha kwa ajili ya kuimarisha sekta mbalimbali zinazoimarisha uchumi. Nchi mbalimbali pia huendeleza sekta ya kibinafsi katika harakati zao za kuimarisha uchumi na kuondoa umaskini katika jamii. Kwa hiyo, watu binafsi huwa wanahamasishwa kuanzisha miradi mbalimbali na kubuni kazi kwa wananchi badala ya kusubiri serikali. Hata hivyo, nchini Uganda, wanasiasa hawajaona umuhimu wa lugha ya Kiswahili na nchi hii ni mwanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki. Kwa hiyo, katika makala hii, mtafiti anaeleza jinsi Kiswahili kinaweza kuwa na manufaa kwa Waganda. Utafiti huu ulikusudia kujibu swali; Je, Kiswahili kinaweza kuwa na manufaa yoyote kwa nchi ya Uganda? Katika kazi hii, mkabala wa utafiti ulikuwa wa nyanjani. Mtafiti aliendeleza utafiti katika Wilaya ya Bududa nchini Uganda. Wahojiwa walikuwa walimu katika shule za sekondari. Taarifa zilikusanywa kutoka kwa walimu 100. Baada ya taarifa kukusanywa, mtafiti alizichanganua data hizo na kubainisha hoja tofautitofauti. Umuhimu wa utafiti huu ni kuwa ulipelekea wananchi wa Uganda kuona umuhimu wa lugha ya Kiswahili na hivyo kuanza kuitetea badala ya kuipiga vita. 2025-01-20T11:55:20Z 2025-01-20T11:55:20Z 2024 Thesis Musiimenta, Anita (2024). Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2857 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Hali
Kiswahili
Shule
Upili
Wilayani Ntungamo
Uganda
Musiimenta, Anita
Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title_full Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title_fullStr Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title_full_unstemmed Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title_short Hali ya Kiswahili Katika Shule za Upili Wilayani Ntungamo Nchini Uganda.
title_sort hali ya kiswahili katika shule za upili wilayani ntungamo nchini uganda
topic Hali
Kiswahili
Shule
Upili
Wilayani Ntungamo
Uganda
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2857
work_keys_str_mv AT musiimentaanita haliyakiswahilikatikashulezaupiliwilayanintungamonchiniuganda