Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.

Tasnifu hii inahusu Matumizi ya mbinu ya utanzia na uibuaji wa maudhui katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza matumizi ya mbinu ya utanzia katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa matatu. Lengo la kwanza lili...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Mundu, Alamira Priscilla
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2880
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844184286560256
author Mundu, Alamira Priscilla
author_facet Mundu, Alamira Priscilla
author_sort Mundu, Alamira Priscilla
collection KAB-DR
description Tasnifu hii inahusu Matumizi ya mbinu ya utanzia na uibuaji wa maudhui katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza matumizi ya mbinu ya utanzia katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa matatu. Lengo la kwanza lilikuwa ni kuchambua matukio halisi ya kitanzia katika tamthilia teule. Lengo la pili lilikuwa ni kufananisha na kutofautisha sifa bainifu za kitanzia, na lengo la tatu lilikuwa ni kutathmini maudhui yanayoibuliwa na matukio halisi ya kitanzia katika tamthilia hizo. Wango la utafiti huu ni jumla ya tamthilia za Pauline Kea na Kithaka wa Mberia ambazo idadi yake ni sita. Tamthilia hizi zimegawika katika makundi mawili. Kundi la kwanza linahusu tamthilia tano za Kithaka wa Mberia ambazo ni: Natala 1997,Mchezo wa Karata, 1997, Bara Jingine, 2001, Kifo Kisimani, 2001 na Maua kwenye Jua la Asubuhi 2004. Miongoni mwa tamthilia hizi tatu mtafiti aliteua tamthilia ya Kifo Kisimani. Kundi la pili ni tamthilia ya Pauline Kea ya ni Kigogo 2016. Sampuli ya utafiti ni tamthilia mbili za Kigogo na Kifo Kisimani. Mchakato uliotumika kupata Sampuli ya utafiti ni usampulishaji lengwa na usampulishaji tabakishi. Data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia kifaacha orodha hakiki, zikachambuliwa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliongozwa na nadharia ya uhalisia wa Kijamaa. Matokeo yanabainisha kuwa matukio halisi katika tamthilia teule ni pamoja na; utokeaji wa vifo, kuibuka kwa magonjwa katika jamii, kufungwa kwa wahusika. Hali kadhalika, sifa bainifu za kitanzia ni kama vile; mhusika nguli anayetoka katika tabaka la juu, migogoro, matukio yanayoamsha hisia za woga, huzuni na huruma na Mwisho mbaya wa mhusika nguli. Maudhui yaliyoibulliwa na matukio halisi ya kitanzia ni pamoja na, ukiukwaji wa haki za binadamu, uongozi mbaya, ukatili, umaskini, tamaa na ubinafsi. Tafiti zaidi zinaweza kufanywa kwa kuangalia vipengele vingine au mbinu nyingine. Mbinu zinazoweza kuchambuliwa ni pamoja na ujensi ubabe dume katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani, maudhui makuu katika tamthilia teule na mbinu nyinginezo katika tamthilia hizo. Pia utafiti unaweza kufanyika kwa kutumia nadharia nyingine kama vile nadharia ya ufeministi.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2880
institution KAB-DR
language English
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-28802025-02-06T14:48:52Z Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Mundu, Alamira Priscilla Matumizi Mbinu Utanzia Uibuaji Maudhui Tamthilia Kigogo Kifo Kisimani Tasnifu hii inahusu Matumizi ya mbinu ya utanzia na uibuaji wa maudhui katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Lengo kuu la utafiti huu ni kuchunguza matumizi ya mbinu ya utanzia katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa matatu. Lengo la kwanza lilikuwa ni kuchambua matukio halisi ya kitanzia katika tamthilia teule. Lengo la pili lilikuwa ni kufananisha na kutofautisha sifa bainifu za kitanzia, na lengo la tatu lilikuwa ni kutathmini maudhui yanayoibuliwa na matukio halisi ya kitanzia katika tamthilia hizo. Wango la utafiti huu ni jumla ya tamthilia za Pauline Kea na Kithaka wa Mberia ambazo idadi yake ni sita. Tamthilia hizi zimegawika katika makundi mawili. Kundi la kwanza linahusu tamthilia tano za Kithaka wa Mberia ambazo ni: Natala 1997,Mchezo wa Karata, 1997, Bara Jingine, 2001, Kifo Kisimani, 2001 na Maua kwenye Jua la Asubuhi 2004. Miongoni mwa tamthilia hizi tatu mtafiti aliteua tamthilia ya Kifo Kisimani. Kundi la pili ni tamthilia ya Pauline Kea ya ni Kigogo 2016. Sampuli ya utafiti ni tamthilia mbili za Kigogo na Kifo Kisimani. Mchakato uliotumika kupata Sampuli ya utafiti ni usampulishaji lengwa na usampulishaji tabakishi. Data za utafiti zilikusanywa kwa kutumia kifaacha orodha hakiki, zikachambuliwa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliongozwa na nadharia ya uhalisia wa Kijamaa. Matokeo yanabainisha kuwa matukio halisi katika tamthilia teule ni pamoja na; utokeaji wa vifo, kuibuka kwa magonjwa katika jamii, kufungwa kwa wahusika. Hali kadhalika, sifa bainifu za kitanzia ni kama vile; mhusika nguli anayetoka katika tabaka la juu, migogoro, matukio yanayoamsha hisia za woga, huzuni na huruma na Mwisho mbaya wa mhusika nguli. Maudhui yaliyoibulliwa na matukio halisi ya kitanzia ni pamoja na, ukiukwaji wa haki za binadamu, uongozi mbaya, ukatili, umaskini, tamaa na ubinafsi. Tafiti zaidi zinaweza kufanywa kwa kuangalia vipengele vingine au mbinu nyingine. Mbinu zinazoweza kuchambuliwa ni pamoja na ujensi ubabe dume katika tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani, maudhui makuu katika tamthilia teule na mbinu nyinginezo katika tamthilia hizo. Pia utafiti unaweza kufanyika kwa kutumia nadharia nyingine kama vile nadharia ya ufeministi. 2025-02-06T14:44:39Z 2025-02-06T14:44:39Z 2024 Thesis Mundu, Alamira Priscilla (2024). Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2880 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Matumizi
Mbinu
Utanzia
Uibuaji
Maudhui
Tamthilia
Kigogo
Kifo Kisimani
Mundu, Alamira Priscilla
Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title_full Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title_fullStr Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title_full_unstemmed Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title_short Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
title_sort matumizi ya mbinu ya utanzia na uibuaji wa maudhui katika tamthilia ya kigogo na kifo kisimani
topic Matumizi
Mbinu
Utanzia
Uibuaji
Maudhui
Tamthilia
Kigogo
Kifo Kisimani
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2880
work_keys_str_mv AT mundualamirapriscilla matumiziyambinuyautanzianauibuajiwamaudhuikatikatamthiliayakigogonakifokisimani