Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.

Utafiti huu unahusu dosari za kifonolojia zinazojitokeza miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili katika jamii ya Kichiga. Lengo lilikuwa kutalii ili kuona muktadha wa kijamii unavyoukilia ujitokezaji wa dosari hizo za kifonolojia. Kwa mahsusi kabisa, utafiti huu ulilenga kubainisha dosari za kifonoloj...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Turigye, Rosemary
Format: Thesis
Language:English
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2881
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844184119836672
author Turigye, Rosemary
author_facet Turigye, Rosemary
author_sort Turigye, Rosemary
collection KAB-DR
description Utafiti huu unahusu dosari za kifonolojia zinazojitokeza miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili katika jamii ya Kichiga. Lengo lilikuwa kutalii ili kuona muktadha wa kijamii unavyoukilia ujitokezaji wa dosari hizo za kifonolojia. Kwa mahsusi kabisa, utafiti huu ulilenga kubainisha dosari za kifonolojia, kuelewa chanzo chake, kuzingatia muktadha wa kujifunza, na kutoa mapendekezo ya mikakati inayoweza kutumika kupunguza dosari hizo. Utafiti ulitumia sampuli ya watoa taarifa 94 waliogawanyika katika sehemu mbili, walimu 10 na wanafunzi 84. Mbinu za kukusanya data zilizotumika ni uandishi wa insha na hojaji. Hojaji zilitumika kwa walimu na wanafunzi wakati uandishi ulitumika kwa wajifunzaji lugha. Utafiti uliongozwa na Nadharia Uchanganuzi Makosa na Nadharia Elekezi hasa kwa mahsusi wake muhimili wa ingizo. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa dosari za udondoshaji, uchopekaji na ubadilishaji wa sauti zilibainika. Utafiti umebaini kuwa chanzo cha dosari hizo ni pamoja na uhamishaji, athari za lugha ya Kichiga, utamaduni wa Kichiga na ukakamaaji. Vilevile, imebainika kwamba, muktadha wa kijamii unachochea kwa kiasi kikubwa uibuzi wa dosari za kifonolojia kutokana na ukosefu wa uibuzi wa ingizo ndani ya mazingira miongoni mwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika jamii. Muktadha wa kujifunzia uligunduliwa kuwa una athari kubwa kwa ujitokezaji wa dosari za kifonolojia, kwani wajifunzaji walikuwa wakipata changamoto kutokana na ukosefu wa mazoezi na matumizi ya lugha ya Kiswahili katika mazingira yao ya kila siku. Aidha, mikakati anuwai ilipendekezwa ili kupunguza dosari za kifonolojia, kuongeza mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza Kiswahili, kuboresha vifaa vya kufundishia na kujifunzia, na kuanzisha programu za msaada kwa wajifunzaji wenye dosari za kifonolojia. Kwa kufanya hivyo, inatarajiwa kuwa dosari za kifonolojia zinaweza kupunguzwa na ujuzi wa lugha ya Kiswahili unaweza kuboreshwa miongoni mwa wajifunzaji katika jamii ya Kichiga.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2881
institution KAB-DR
language English
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-28812025-02-06T14:48:44Z Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia. Turigye, Rosemary Dosari Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Wajifunzaji Kiswahili Wachiga Muktadha Kujifunzia Utafiti huu unahusu dosari za kifonolojia zinazojitokeza miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili katika jamii ya Kichiga. Lengo lilikuwa kutalii ili kuona muktadha wa kijamii unavyoukilia ujitokezaji wa dosari hizo za kifonolojia. Kwa mahsusi kabisa, utafiti huu ulilenga kubainisha dosari za kifonolojia, kuelewa chanzo chake, kuzingatia muktadha wa kujifunza, na kutoa mapendekezo ya mikakati inayoweza kutumika kupunguza dosari hizo. Utafiti ulitumia sampuli ya watoa taarifa 94 waliogawanyika katika sehemu mbili, walimu 10 na wanafunzi 84. Mbinu za kukusanya data zilizotumika ni uandishi wa insha na hojaji. Hojaji zilitumika kwa walimu na wanafunzi wakati uandishi ulitumika kwa wajifunzaji lugha. Utafiti uliongozwa na Nadharia Uchanganuzi Makosa na Nadharia Elekezi hasa kwa mahsusi wake muhimili wa ingizo. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kuwa dosari za udondoshaji, uchopekaji na ubadilishaji wa sauti zilibainika. Utafiti umebaini kuwa chanzo cha dosari hizo ni pamoja na uhamishaji, athari za lugha ya Kichiga, utamaduni wa Kichiga na ukakamaaji. Vilevile, imebainika kwamba, muktadha wa kijamii unachochea kwa kiasi kikubwa uibuzi wa dosari za kifonolojia kutokana na ukosefu wa uibuzi wa ingizo ndani ya mazingira miongoni mwa wajifunzaji wa lugha ya Kiswahili katika jamii. Muktadha wa kujifunzia uligunduliwa kuwa una athari kubwa kwa ujitokezaji wa dosari za kifonolojia, kwani wajifunzaji walikuwa wakipata changamoto kutokana na ukosefu wa mazoezi na matumizi ya lugha ya Kiswahili katika mazingira yao ya kila siku. Aidha, mikakati anuwai ilipendekezwa ili kupunguza dosari za kifonolojia, kuongeza mazoezi ya kusikiliza na kuzungumza Kiswahili, kuboresha vifaa vya kufundishia na kujifunzia, na kuanzisha programu za msaada kwa wajifunzaji wenye dosari za kifonolojia. Kwa kufanya hivyo, inatarajiwa kuwa dosari za kifonolojia zinaweza kupunguzwa na ujuzi wa lugha ya Kiswahili unaweza kuboreshwa miongoni mwa wajifunzaji katika jamii ya Kichiga. 2025-02-06T14:44:49Z 2025-02-06T14:44:49Z 2024 Thesis Turigye, Rosemary (2024). Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2881 en Attribution-NonCommercial-NoDerivs 3.0 United States http://creativecommons.org/licenses/by-nc-nd/3.0/us/ application/pdf Kabale University
spellingShingle Dosari
Kifonolojia Zinazojidhirisha
Miongoni
Wajifunzaji
Kiswahili
Wachiga
Muktadha
Kujifunzia
Turigye, Rosemary
Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title_full Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title_fullStr Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title_full_unstemmed Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title_short Dosari Za Kifonolojia Zinazojidhirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Katika Jamii Ya Wachiga: Uzingativu Wa Muktadha Wa Kujifunzia.
title_sort dosari za kifonolojia zinazojidhirisha miongoni mwa wajifunzaji wa kiswahili katika jamii ya wachiga uzingativu wa muktadha wa kujifunzia
topic Dosari
Kifonolojia Zinazojidhirisha
Miongoni
Wajifunzaji
Kiswahili
Wachiga
Muktadha
Kujifunzia
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2881
work_keys_str_mv AT turigyerosemary dosarizakifonolojiazinazojidhirishamiongonimwawajifunzajiwakiswahilikatikajamiiyawachigauzingativuwamuktadhawakujifunzia