Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.

Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhima ya mbinu ya ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Malengo ya utafiti yalikuwa kubainisha mbinu za ucheshi zinazojitokeza katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani, kueleza ufanano na utofautianaji wa ujitokezaji wa ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Atwijukire, Beatrice
Format: Thesis
Language:other
Published: Kabale University 2025
Subjects:
Online Access:http://hdl.handle.net/20.500.12493/2882
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1823844183103766528
author Atwijukire, Beatrice
author_facet Atwijukire, Beatrice
author_sort Atwijukire, Beatrice
collection KAB-DR
description Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhima ya mbinu ya ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Malengo ya utafiti yalikuwa kubainisha mbinu za ucheshi zinazojitokeza katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani, kueleza ufanano na utofautianaji wa ujitokezaji wa ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani na kutathmini dhima ya ucheshi katika kujenga maudhui katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Utafiti uliongozwa na Nadharia ya Umtindo iliyoasisiwa na Leech (1969). Nadharia hii hushikilia kwamba kazi za fasihi haziwezi kueleweka bila lugha. Kwa hivyo, jinsi ilivyotumiwa na msanii kuumba kazi yake ni aula msingi kabisa kwa uelekeo wa nadharia hii. Wango la utafiti huu ni Diwani tatu za Euphrase Kezilahabi ambazo ni Kichomi (1974), Karibu Ndani (1988) na Dhifa (2008). Sababu ya kuteua Diwani hizi ni kuwa Kezilahabi ni mshairi maarufu katika historia na maendeleo ya fasihi ya Kiswahili. Utafiti ulitumia usampulishaji nasibu tabakishi. Diwani za Kezilahabi zilitabakishwa kulingana na mwaka zilimochapishwa na zile zilizotungwa hivi karibuni ndizo zilizoteuliwa yaani Karibu Ndani (1988) na Dhifa (2008). Data zilikusanywa na kupangiliwa vizuri kulingana na mada kuu na ndogondogo ambazo zilibuniwa kutoka Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani kwa kuzingatia madhumuni mahususi ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba mbinu za ucheshi kama majina ya majazi, misemo, taswira za kuchekesha, tanakali sauti, uradidi, na utohozi zinajitokeza kwa namna mbalimbali katika Diwani hizi mbili. Kila moja ikichangia kwa namna yake katika kujenga maudhui na kuwasilisha malengo ya mwandishi. Pia ucheshi unathibitisha kuwa ni chombo muhimu katika fasihi, si tu kwa ajili ya burudani bali pia kwa ajili ya kufikisha ujumbe muhimu kwa jamii. Kwa mfano ucheshi huonesha matendo maovu ya viongozi, hali ya maisha ya watu katika jamii nakadhalika. Kwa njia hii, mashairi haya yanajenga maudhui yanayovutia na yenye kuleta mwanga juu ya masuala ya kijamii na kibinadamu kwa namna inayoeleweka na kukubalika na wasomaji. Utafiti ulipendekeza kwamba watafiti watakaofuata wa kazi za fasihi waendelee kuchunguza namna mbinu za ucheshi zinavyoweza kuendelezwa kwa ubunifu ili kuvutia wasomaji na kuwasilisha maudhui yenye thamani kwa jamii.
format Thesis
id oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-2882
institution KAB-DR
language other
publishDate 2025
publisher Kabale University
record_format dspace
spelling oai:idr.kab.ac.ug:20.500.12493-28822025-02-06T14:48:42Z Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Atwijukire, Beatrice Dhima Mbinu Ucheshi Fasihi Uchunguzi Diwani Dhifa Karibu Ndani Utafiti huu ulilenga kuchunguza dhima ya mbinu ya ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Malengo ya utafiti yalikuwa kubainisha mbinu za ucheshi zinazojitokeza katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani, kueleza ufanano na utofautianaji wa ujitokezaji wa ucheshi katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani na kutathmini dhima ya ucheshi katika kujenga maudhui katika Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Utafiti uliongozwa na Nadharia ya Umtindo iliyoasisiwa na Leech (1969). Nadharia hii hushikilia kwamba kazi za fasihi haziwezi kueleweka bila lugha. Kwa hivyo, jinsi ilivyotumiwa na msanii kuumba kazi yake ni aula msingi kabisa kwa uelekeo wa nadharia hii. Wango la utafiti huu ni Diwani tatu za Euphrase Kezilahabi ambazo ni Kichomi (1974), Karibu Ndani (1988) na Dhifa (2008). Sababu ya kuteua Diwani hizi ni kuwa Kezilahabi ni mshairi maarufu katika historia na maendeleo ya fasihi ya Kiswahili. Utafiti ulitumia usampulishaji nasibu tabakishi. Diwani za Kezilahabi zilitabakishwa kulingana na mwaka zilimochapishwa na zile zilizotungwa hivi karibuni ndizo zilizoteuliwa yaani Karibu Ndani (1988) na Dhifa (2008). Data zilikusanywa na kupangiliwa vizuri kulingana na mada kuu na ndogondogo ambazo zilibuniwa kutoka Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani kwa kuzingatia madhumuni mahususi ya utafiti huu. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba mbinu za ucheshi kama majina ya majazi, misemo, taswira za kuchekesha, tanakali sauti, uradidi, na utohozi zinajitokeza kwa namna mbalimbali katika Diwani hizi mbili. Kila moja ikichangia kwa namna yake katika kujenga maudhui na kuwasilisha malengo ya mwandishi. Pia ucheshi unathibitisha kuwa ni chombo muhimu katika fasihi, si tu kwa ajili ya burudani bali pia kwa ajili ya kufikisha ujumbe muhimu kwa jamii. Kwa mfano ucheshi huonesha matendo maovu ya viongozi, hali ya maisha ya watu katika jamii nakadhalika. Kwa njia hii, mashairi haya yanajenga maudhui yanayovutia na yenye kuleta mwanga juu ya masuala ya kijamii na kibinadamu kwa namna inayoeleweka na kukubalika na wasomaji. Utafiti ulipendekeza kwamba watafiti watakaofuata wa kazi za fasihi waendelee kuchunguza namna mbinu za ucheshi zinavyoweza kuendelezwa kwa ubunifu ili kuvutia wasomaji na kuwasilisha maudhui yenye thamani kwa jamii. 2025-02-06T14:45:00Z 2025-02-06T14:45:00Z 2024 Thesis Atwijukire, Beatrice (2024). Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani. Kabale: Kabale University. http://hdl.handle.net/20.500.12493/2882 other application/msword Kabale University
spellingShingle Dhima
Mbinu
Ucheshi
Fasihi
Uchunguzi
Diwani
Dhifa
Karibu Ndani
Atwijukire, Beatrice
Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title_full Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title_fullStr Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title_full_unstemmed Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title_short Dhima ya Mbinu ya Ucheshi Katika Fasihi: Uchunguzi Kifani Diwani ya Dhifa na Karibu Ndani.
title_sort dhima ya mbinu ya ucheshi katika fasihi uchunguzi kifani diwani ya dhifa na karibu ndani
topic Dhima
Mbinu
Ucheshi
Fasihi
Uchunguzi
Diwani
Dhifa
Karibu Ndani
url http://hdl.handle.net/20.500.12493/2882
work_keys_str_mv AT atwijukirebeatrice dhimayambinuyaucheshikatikafasihiuchunguzikifanidiwaniyadhifanakaribundani