-
1
Uchanganuzi Wa Athari Za Kifonolojia Zinazojidhihirisha Miongoni Mwa Wajifunzaji Wa Kiswahili Kama Lugha Ya Kigeni Katika Jamii Ya Wanyankore.
Published 2024“…Utafiti huu ulikuwa na malengo mahususi matatu na matokeo ya lengo la kwanza yalionyesha kwamba athari za Kifonolojia zinazojidhirisha miongoni mwa wajifunzaji wa Kiswahili kama Lugha ya Kigeni katika jamii ya Wanyankore ni uchopekaji, ubadilishanaji wa fonimu na udoshaji herufi. …”
Get full text
Thesis -
2
Dhima ya Methali Ktika Ukuzaji wa Nidhamu Baina ya Wanajamii Kijijini Bungandaro, Wila Yani Rubanda Nchini Uganda.
Published 2023“…Aidha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu makuu, yaani uainishaji huu hutegemea rnaana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa rnethali husika. …”
Get full text
Thesis -
3
Dhia Ya Methali Ktika Ukuza.Ji Wa Nidhamu Baina Ya W Anajamii Kijijini BungandaroWilayanirubanda Nchini Uganda.
Published 2024“…Aid ha utafiti huu umeziainisha methali katika makundi matatu makuu, yaani uainishaji huu hutegemea maana ya ndani pamoja na maana ya nje na walengwa wa methali husika. …”
Get full text
Thesis -
4
Uchambuzi Wa Maneno Ya Kiswahili Kwenye Vyombo Vya Usafiri Na Athari Zake Kwenye Maendeleo Ya Kiswahili Katika Wilaya Ya Kasese.
Published 2024“…Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa katika usafiri wa umma, istilahi za Kiswahili zinaanza kuonekana sambamba na lugha za kienyeji au Kiingereza. Kwa mfano, neno "matatu” linaweza kupitishwa pamoja na neno la ndani kwa magari hayo.Utafiti ulihitimisha kuwa kuna haja ya kuunganishwa kwa msamiati wa Kiswahili kwenye vyombo vya usafiri huakisi utanzu wa lugha na uanuwai wa kitamaduni uliopo katika wilaya. …”
Get full text
Thesis -
5

6
-
7
Matumizi ya Mbinu ya Utanzia na Uibuaji wa Maudhui Katika Tamthilia ya Kigogo na Kifo Kisimani.
Published 2025“…Malengo mahususi ya utafiti huu yalikuwa matatu. Lengo la kwanza lilikuwa ni kuchambua matukio halisi ya kitanzia katika tamthilia teule. …”
Get full text
Thesis -
8
Mradi wa Kuandika Tamthilia ya "Kiza Cha Mchana''.
Published 2023“…Mradi wa tamthilia utapangwa katika vitendo vitatu na kila kitendo kitakuwa na maonyesho matatu. Kila kitendo kitakuwa na maudhui kuu linalozungumziwa humo ambalo linajitosheleza. …”
Get full text
Thesis